kama sijakupa somo.. bmw ni nini we unavoelewa yani maana si ajabu hujui"!Usifananishe BMW na hizo takataka nyingine.
Nilitaka kumjibu lakini jibu lako hili linamtoshaBMW ndio ya kwanza kuitoa hapo spare Zake almost nyingi haipo Ni za kuagiza nje japo Ni gari ngumu lakini spare na mafundi wake wachache sana
Land rover freelander Ni gari ngumu sana japo mafundi wake mtaani hamna lakini Ni chuma kweli kweli
Best option hapo Ni harrier Mzee maana Ni gari nzuri kubwa Na spare nipo mafundi wapo fuel consumption yake sio kubwa saaaana Na pia gari yenyewe sio expensive
Over
Sawa lakini ajaribu kuangalia na matumizi yakeToa harrier hapo
Wee wee kumbe umekariri jinaUsifananishe BMW na hizo takataka nyingine.
BMW Ni Gari model X3 au X5bmw ni model gani au harrier ni kampuni gani ...free lander ni nini??
kichwa cha habari kilipaswa kuwa hivi BMW , toyota au land rover
afu ndani ndo uelezee ni model zipi !! huwa nashangaa sana watu wakiulizwa ushawah kuwa na gari gani na gani mtu anasema eti may be harrier or passo rav4 na bmw what tha f....!! bmw ni kampuni unapaswa taja na model maana kuna watu wakisikia bmw wanachanganyikiwa kumbe ziko 3 series au haya makina x5 za 2005 bei rahisi kuliko kluger lakini wenye nazo kama kina mc pili pili huwa wanajisifu ujinga .....
back to the point ulivosema BMW ulikuwa unamaanisha nini?? modeli ipi yan au hujui kuwa bmw ni kampuni kama ilivyo toyota