Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnanunua gari kwamba ni zuri au mnanunua jina?Bahati mbaya hizi tutaendelea kuziona tu kwny mitandao, hata E46 M3 zenyewe tu hapa bongo tumeshindwa kuzimiliki kwa wingi.
Tunanunua vibonzo.Mnanunua gari kwamba ni zuri au mnanunua jina?
Hata Arusha huku Q8 zipo kibao, jeep wrangla, Posche za kutosha mkuu.Maeneo ya Masaki na Mbezi beach kuna wababe wa haya Magari ukipita mitaa hiyo utakutana na MIPIRA(Magari) ya ukweli si mchezo, nakumbuka wiki iliyopita nimekutana na Audi A7 maeneo ya Masaki chole road hakika nikaamini haya maeneo ya washua
BMW sasa wana experiment na hio grill yao. Hawajui the best way to design it wanajaribu kila kitu saiv.Izo grills sijazielewa. Naona zinaanza lua ugly. F series kurudi nyuma ndio zilikua nzuri.
Ila M4 always ni moto.
Arusha kuna wabishi wa Magari yenye akiliHata Arusha huku Q8 zipo kibao, jeep wrangla, Posche za kutosha mkuu.
Wameangukia kwenye akili za toyotaBMW sasa wana experiment na hio grill yao. Hawajui the best way to design it wanajaribu kila kitu saiv.
Hata Arusha huku Q8 zipo kibao, jeep wrangla, Posche za kutosha mkuu.
Hata Arusha huku Q8 zipo kibao, jeep wrangla, Posche za kutosha mkuu.
Nayajua magari mawili yaliyonunuliwa kwa muda tofauti tofauti kutoka Singapore(lkn yenyewe hayakua BMW), kwa nje yalikua poa sana interior ziko vzr kichizi lkn ilipokuja kwny mechanical issues zilizingua hata pale NIT(since hatuna vituo vya ukaguzi huko Singapore then gari za kutoka huko lazima zije kukaguliwa pale NIT) ilikua ni mziki maana faults za kutosha kwny gari kuanzia kwny miguu mpk kwny engine.Out of topic. Kuna mtu anaejua siri ya gari za Singapore? Beforward nakuta BMW 7 series ya 2011 inauzwa $5,570 tu?????? Tna ukiitizama ipo in good condition.
Niliamua kufanya research kidogo kuona kwa nini bei chee, nikaona kuwa ni kutokana na gharama za umiliki gari nchini Singapore ni kubwa na mtu hutaka kuiuza kwa haraka maana kila siku gari inalipiwa.Nayajua magari mawili yaliyonunuliwa kwa muda tofauti tofauti kutoka Singapore(lkn yenyewe hayakua BMW), kwa nje yalikua poa sana interior ziko vzr kichizi lkn ilipokuja kwny mechanical issues zilizingua hata pale NIT(since hatuna vituo vya ukaguzi huko Singapore then gari za kutoka huko lazima zije kukaguliwa pale NIT) ilikua ni mziki maana faults za kutosha kwny gari kuanzia kwny miguu mpk kwny engine.
So kwa maoni yangu binafsi si-recommend sana gari za kutoka Singapore.