favoured me 2023
Member
- Aug 19, 2023
- 65
- 92
Gari hii ni mpya kabisa Kabisa mjini hapa ina miezi mitatu ni EDT
Engine CC1590
KM 52,000
Engine CC1590
KM 52,000
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bei ni 16m na tunaweza ongea kidogo karibuni.Gari hii ni mpya kabisa Kabisa mjini hapa ina miezi mitatu ni EDT
Engine CC1590
Km 52,000
SawasawaUzi uende na picha ili tukuamini
Mkuu nashindwa kuweka picha jamaniGari halina picha? Hizi biashara mnazifanyaje fanyaje?
Naomba nielekeze nashindwa kuweka pichaHuu uzi bila picha unauondolea uhalali wa kuendelea kuishi.....
Natafuta means ya kuweka picha maana naambiwa apload fail bei ni 16 million.Zingatia picha piga nje na ndani weka na bei
Bei ni 16m. Na pia najaribu kuweka picha hapa.Zingatia picha piga nje na ndani weka na bei
Mkuu naweza kushuka ila walau 13.. ila nane hapana.Mil 8 after testing....pesa ipo mfuko wa shati
Sijui kwa nini siwezi kuweka picha.Tunauziwa mlio wa mbuzi na sehemu alizo kanyaga.
Tunataka tumuone mbuzi na kwato zake.
Basi hutoweza kuuza.Sijui kwa nini siwezi kuweka picha.
Nikutumir.wewe alafu unisaidie kuweka mkuuBasi hutoweza kuuza.