Car4Sale BMW Tsh.Mil 18.5

BANGO JEUPE

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2015
Posts
3,079
Reaction score
2,152
Ipo
 

Attachments

  • IMG-20161013-WA0033.jpg
    80.4 KB · Views: 116
  • IMG-20161013-WA0034.jpg
    72 KB · Views: 113
  • IMG-20161013-WA0030.jpg
    120.8 KB · Views: 119
  • IMG-20161013-WA0031.jpg
    93.7 KB · Views: 113
  • IMG-20161013-WA0032.jpg
    101.9 KB · Views: 144
  • 20161017_170834.jpg
    132.6 KB · Views: 70
  • 20161017_170825.jpg
    191.5 KB · Views: 73
  • 20161017_170850.jpg
    130.2 KB · Views: 71
  • 20161017_170850.jpg
    130.2 KB · Views: 76
inaondoka balaa hii gari mkuu alafu ukiwa ndani kama uko nchi za mbali huko yaani raha tele
Designer wa hii gari wakati anaiunda alituliza akili.... sielewi ni ulevi wangu kwenye magari au akili iko mbele kwa kuupata utamu ... ila nikiwa naendeshwa na hii gari halafu dereva ni wa kiumeni wallah nanyemvuka hadi rohoni. ... nikiwa kwenye usukani mwenyewe hata nikakutana na mdeni wangu namtabasamia tuu yaani nakuwa na raha mda wote...... The love for BMW with Kasie. ....
 
Beamer Benz or Bentley... Hicho kidude kinatuliaga sana mwenye lami aisee!
 
Hela kubwa sana kwa hiyo model ya 2002.
 

Mambo ya "Be My Wife" hayo,Kasinde! Ngoja niuze dagaa zangu mwezi huu nilinunue, ntakutafuta!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…