Wick
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 8,313
- 12,170
Kampuni ya BMW imeonyesha pikipiki yake (bodaboda) ambayo inaweza jiendesha yenyewe bila mtu kuicontrol (self driving).
Ingawa BMW wenyewe wamesema hawataiweka kwenye uzalishaji pikipiki hiyo ila wametengeneza ili kuboresha upande wa breki pikipiki zao nyingine!.
Pikipiki hiyo aina ya BMW - R1200GS inaweza jiendesha yenyewe, ingawa huitaji kuanzishwa kwa kusukumwa lakini ni moja ya maboresho bora zaidi.