BMW waja na pikipiki inayotembea yenyewe! (self driving).

Wick

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2012
Posts
8,313
Reaction score
12,170
Kampuni ya BMW imeonyesha pikipiki yake (bodaboda) ambayo inaweza jiendesha yenyewe bila mtu kuicontrol (self driving).
Ingawa BMW wenyewe wamesema hawataiweka kwenye uzalishaji pikipiki hiyo ila wametengeneza ili kuboresha upande wa breki pikipiki zao nyingine!.
Pikipiki hiyo aina ya BMW - R1200GS inaweza jiendesha yenyewe, ingawa huitaji kuanzishwa kwa kusukumwa lakini ni moja ya maboresho bora zaidi.


 
Hapo kuna haja ya kua na leseni sasa?
 
Aaah!huu ujinga!!raha ya pikipiki uendeshe, utie mbwembwe kidogo, uvute accelerator kwa mbwembwe na vitu ka'izo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…