BMW wamekuja kivingine

BMW wamekuja kivingine

Faana

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
38,657
Reaction score
44,759
Hiki ndicho wasemacho
👇
1736954857573.png
 
Ndiyo nini hiki? Kama ni hydrogen mbona toyota walidevelop hydrogen engine muda na CEO wao alikuwa badala ya gari za umeme alikuwa akipigia debe hydrogen engine.
Tusubiri tuwasikie
 
Sasa hili gari likiharibika engine fundi maiko ataanzia wapi?
Achana hata na hi ya hydrogen engine, fundi maiko gari zote za ulaya zinamsumbua, hata za Japan fundi maiko anazijua zaidi Toyota kuliko brand zingine kama Mitsubishi, Subaru, Suzuki nk. Nakushauri, peleka gari kwa mafundi Michael achana na fundi maiko.
 
Labda kama unajaza maji, zaidi ya hapo wasituchoshe. Mchina kawashika kwenye EVs wanatapatapa.
 
Back
Top Bottom