BMW wamekuja kivingine

Ndiyo nini hiki? Kama ni hydrogen mbona toyota walidevelop hydrogen engine muda na CEO wao alikuwa badala ya gari za umeme alikuwa akipigia debe hydrogen engine.
Tusubiri tuwasikie
 
umeweka picha tu bila maelezo ya maana..kumbe hizi ndio zile injini zinazotumia maji.!
 
Sasa hili gari likiharibika engine fundi maiko ataanzia wapi?
Achana hata na hi ya hydrogen engine, fundi maiko gari zote za ulaya zinamsumbua, hata za Japan fundi maiko anazijua zaidi Toyota kuliko brand zingine kama Mitsubishi, Subaru, Suzuki nk. Nakushauri, peleka gari kwa mafundi Michael achana na fundi maiko.
 
Labda kama unajaza maji, zaidi ya hapo wasituchoshe. Mchina kawashika kwenye EVs wanatapatapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…