BMW wamekuja kivingine

Hizo hydrogen engines zinafanyaje kazi? Please, elaborate a bit.
 
TRA wapo busy kupandisha kodi kwenye gar zinazotumia mafuta wakati Dunia inabadilila wao hawabadiliki ndio kwanza wanaongeza vipengele vipya..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…