BMW X5: Mwenye kuijua!

BMW X5: Mwenye kuijua!

M24 Headquarters-Kigali

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
8,199
Reaction score
8,186
Salam,
Mwenye kuijua gari pendwa BMW X5. Nataka kulipuka na huyu Mjerumani Ila Sina details zaidi ya bei

BK789631_79e86e.jpeg


BK789631_823734.jpeg
 
Ni gari ya uhakika kwa matumizi ya aina yoyote. Ukitaka kuuzia sura mjini inafaa sana na pia ni nzuri kwa safari ndefu kwa sababu iko comfortable na pia inakamata barabara vizuri.
By the way ukitaka ufurahie hii gari jitahidi uchukue either brand new or kama ni used basi chukua iliotembea km chache.
Unawezaje kununua a brand new X5 E70 ya mwaka 2013 kushuka chini?

Do you have any real clue about this car?
 
Gari tamu sana hii, ila a bit heavier than X3.

Kama huhitaji sana the extra power na unabana matumizi ya mafuta angalia X3 pia ni gari nzuri.

Nimemiliki zote.
Upo vizuri mkuu, "umewahi kumiliki zote"!!.

Ukienda Dodoma tembelea Bambalaga uone wenye Crown Athlete, Brevis,Subaru, Forester, Alphard na baby walker walivyo na mikogo na mashauzi kibao wakiwatambia baamedi na vicheche wanao kuwepo hapo!
[emoji115][emoji115][emoji1][emoji1]
Mabitozi wa Bambalaga wajue kuwa hizo zote nilizozitaja hapo juu ni gari baby walker zilizochangamka kidogo!!!
 
Upo vizuri mkuu, "umewahi kumiliki zote"!!.

Ukienda Dodoma tembelea Bambalaga uone wenye Crown Athlete, Brevis,Subaru, Forester, Alphard na baby walker walivyo na mikogo na mashauzi kibao wakiwatambia baamedi na vicheche wanao kuwepo hapo!
Haa
Tanzania PAMOTO Hapa Bambalaga Nitakwenda Leo
Nikilewa TU Ndiyo Naitazama Vema Mikoko
 
Ikianza kuzeeka itasumbua sana kwenye parts, halafu parts nyingine zinaweza kuwa ni ghali sana.

Nilikuwa na X3, ilipokaribia 100,000 miles, ikawa inaanza kunidai parts sana, nikachukua X5.

Hiyo peke yake sidhani kama inatosha kusema inasumbua labda useme kama ukifunga kifaa ulichobadili kinalufa tena ndani ya muda mfupi. I stand to be corrected tho kwa sababu una uzoefu nazo.
 
Back
Top Bottom