M24 Headquarters-Kigali
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 8,199
- 8,186
Hongera sana MkuuGari tamu sana hii, ila a bit heavier than X3.
Kama hubitaji sana the extra power na unabana matumizi ya mafuta angalia X3 pia ni gari nzuri.
Nimemiliki zote.
Unawezaje kununua a brand new X5 E70 ya mwaka 2013 kushuka chini?Ni gari ya uhakika kwa matumizi ya aina yoyote. Ukitaka kuuzia sura mjini inafaa sana na pia ni nzuri kwa safari ndefu kwa sababu iko comfortable na pia inakamata barabara vizuri.
By the way ukitaka ufurahie hii gari jitahidi uchukue either brand new or kama ni used basi chukua iliotembea km chache.
Upo vizuri mkuu, "umewahi kumiliki zote"!!.Gari tamu sana hii, ila a bit heavier than X3.
Kama huhitaji sana the extra power na unabana matumizi ya mafuta angalia X3 pia ni gari nzuri.
Nimemiliki zote.
HaaUpo vizuri mkuu, "umewahi kumiliki zote"!!.
Ukienda Dodoma tembelea Bambalaga uone wenye Crown Athlete, Brevis,Subaru, Forester, Alphard na baby walker walivyo na mikogo na mashauzi kibao wakiwatambia baamedi na vicheche wanao kuwepo hapo!
Hahahaaaa, mikoko mingi ni baby walker. Wenye mikoko kiwango huwezi kuwaona hapo.Haa
Tanzania PAMOTO Hapa Bambalaga Nitakwenda Leo
Nikilewa TU Ndiyo Naitazama Vema Mikoko
Sidhani kama mdau hapo juu ameuliza kuhusu specific year.Unawezaje kununua a brand new X5 E70 ya mwaka 2013 kushuka chini?
Do you have any real clue about this car?
Vinginevyo?Sidhani kama mdau hapo juu ameuliza kuhusu specific year.
Ndio maana nimemshauri kama anataka kununua bimmer X5 then ajitahidi atafute brand new ama used iliotembea km chache.
Natamani nimwage nondo za hii gari i la nitaufunga mapema uzi wako acha watu watiririke kwanzaSalam,
Mwenye kuijua gari pendwa BMW X5. Nataka kulipuka na huyu Mjerumani Ila Sina details zaidi ya bei
View attachment 2140479
View attachment 2140480
Ikianza kuzeeka itasumbua sana kwenye parts, halafu parts nyingine zinaweza kuwa ni ghali sana.Vinginevyo?
Ikianza kuzeeka itasumbua sana kwenye parts, halafu parts nyingine zinaweza kuwa ni ghali sana.
Nilikuwa na X3, ilipokaribia 100,000 miles, ikawa inaanza kunidai parts sana, nikachukua X5.
Mchukue mnyama huyo bila kusitaSalam,
Mwenye kuijua gari pendwa BMW X5. Nataka kulipuka na huyu Mjerumani Ila Sina details zaidi ya bei
View attachment 2140479
View attachment 2140480
Asante SanaMchukue mnyama huyo bila kusita
Mnyama MsalaAsante Sana