BMW X5

BMW X5

stunnar

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2016
Posts
236
Reaction score
134
Naomba ushauri mi si mzoefu sana wa magari,ila nahitaji usafiri wa matumizi binafsi sasa kuna gari mbili huwa navutiwa nazo kati ya BMW X5 na HARRIER new model.....ipi na gari nzuri kwa matumizi ya kawaida
 
Back
Top Bottom