S stunnar JF-Expert Member Joined Aug 24, 2016 Posts 236 Reaction score 134 Sep 25, 2016 #1 Naomba ushauri mi si mzoefu sana wa magari,ila nahitaji usafiri wa matumizi binafsi sasa kuna gari mbili huwa navutiwa nazo kati ya BMW X5 na HARRIER new model.....ipi na gari nzuri kwa matumizi ya kawaida
Naomba ushauri mi si mzoefu sana wa magari,ila nahitaji usafiri wa matumizi binafsi sasa kuna gari mbili huwa navutiwa nazo kati ya BMW X5 na HARRIER new model.....ipi na gari nzuri kwa matumizi ya kawaida
G'taxi JF-Expert Member Joined Sep 15, 2013 Posts 6,625 Reaction score 8,639 Sep 25, 2016 #2 Zote ni gari nzuri ila BMW nunua iwapo huna pesa za mawazo
mng'ato JF-Expert Member Joined Oct 27, 2014 Posts 29,200 Reaction score 49,076 Sep 26, 2016 #3 Bmw x5 M-spot hatari Sana