darautobroker
JF-Expert Member
- Dec 18, 2020
- 685
- 600
Watakua wamekosa parts hao wakiuliza wanaambiwa bei juu sana mimi hayo natengeneza na parts zake natoa SA kwa gharama nafuu ukiweza niunge nao ni hela hizo Mkuu..SWALI,,,,,
BMW zina tengenezeka??
Manake kuna pahala naziona zinaliwa na kutu!
Zinatengenezeka Boss Japo Spare Parts Zake Zimechangamka Kidogo Ukilinganisha Na ToyotaSWALI,,,,,
BMW zina tengenezeka??
Manake kuna pahala naziona zinaliwa na kutu!
Salute MkuuWatakua wamekosa parts hao wakiuliza wanaambiwa bei juu sana mimi hayo natengeneza na parts zake natoa SA kwa gharama nafuu ukiweza niunge nao ni hela hizo Mkuu..