BMW X6

BMW X6

kukumaji

Member
Joined
Mar 21, 2017
Posts
13
Reaction score
16
Hi guys, aneifahamu vizuri hii gari naomba msaada Wa range za bei na upatikanaji wake Tz. Bei kuanzia used Tz iliyo katika Hali nzuri, na kama Kuna uwezekano Wa kupata used nje, Pia bei ya mpya.

Pia comment kwa sustainability yake kwa Hali ya Tz ya miundombinu na kuihudimia kwa jumla, (matumizi tarajiwa ni dar na mikoani)
 
Back
Top Bottom