Asante kwa taarifa ndugu 🦁.Sasa mumpe usajili kabla ya kumpoteza mara ya pili 🤔TAARIFA Kwa Mujibu wa @jr_farhanjr ni kuwa Yanga Africa wamevunja Mkataba wa aliyekuwa Mkurugenzi wa Mashabiki na Wanachama CPA Haji Mfikirwa.. Sababu zinatajwa kuwa ni Kusua sua Kwa zoezi la Usajili wa Wanachama Wapya.
Haji Mfikirwa alianza Kazi Kama katibu Mkuu wa Yanga Africa.Kabla ya Baadae Kuwa Mkurugenzi wa Fedha na Kumaliza utumishi wake Kama Mkurugenzi wa Mashabiki na Wanachama.
Note; Hii Kupakua Supu imekuja tu by the way....Sijui Ilikuwaje [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787][emoji119]
Source:Mzee wa Jambia
DahKwani usajili utamlazimosha mtu? Mashabiki ni fuata upepo , timu ikishinda anafurahia ikishinhwa ni ya kwenu mnaokula mshahara , viongozi na wachezaji. Yaani mnataka kunimiliki Mimi? Tv nilipie kingamuzi, jezi zenye maremborembo meeengi ambayo ukifua maandishi yanabanduka mnatuuzia fedha nyingi halafu niwe nalipia kadi Kila mwaka kama nalipa zaka kanisani? Chakufia nini embu tumwone anayeluja atupige viboko ili tujidajili? Mmemuonea buuure
AiseeehTAARIFA Kwa Mujibu wa @jr_farhanjr ni kuwa Yanga Africa wamevunja Mkataba wa aliyekuwa Mkurugenzi wa Mashabiki na Wanachama CPA Haji Mfikirwa.. Sababu zinatajwa kuwa ni Kusua sua Kwa zoezi la Usajili wa Wanachama Wapya.
Haji Mfikirwa alianza Kazi Kama katibu Mkuu wa Yanga Africa.Kabla ya Baadae Kuwa Mkurugenzi wa Fedha na Kumaliza utumishi wake Kama Mkurugenzi wa Mashabiki na Wanachama.
Note; Hii Kupakua Supu imekuja tu by the way....Sijui Ilikuwaje [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787][emoji119]
Source:Mzee wa Jambia
Hauja lazimishwa kama huna hela tulia usiwasemee wenzakoKwani usajili utamlazimosha mtu? Mashabiki ni fuata upepo , timu ikishinda anafurahia ikishinhwa ni ya kwenu mnaokula mshahara , viongozi na wachezaji. Yaani mnataka kunimiliki Mimi? Tv nilipie kingamuzi, jezi zenye maremborembo meeengi ambayo ukifua maandishi yanabanduka mnatuuzia fedha nyingi halafu niwe nalipia kadi Kila mwaka kama nalipa zaka kanisani? Chakufia nini embu tumwone anayeluja atupige viboko ili tujidajili? Mmemuonea buuure
Mambo ya Yanga yanawauma sanaKwa hiyo huyu ndiyo kafara baada ya kushindwa kuleta watu viwanjani?
Nyie mateka wa akili andeleeni kwatatajirisha wajanja wajanja . Mimi ng' oHauja lazimishwa kama huna hela tulia usiwasemee wenzako
Huna akili una elewa maana ya timu ya wanachama au unapayuka kama zuzuNyie mateka wa akili andeleeni kwatatajirisha wajanja wajanja . Mimi ng' o
Wewe ndio zuzu, unajifanya timu yangu timu yangu wakati huna share hata sent ,utaichangiaje? Utauziwaje li kard lisilo na kazi wakati timu ni Mali ya GCM?Huna akili una elewa maana ya timu ya wanachama au unapayuka kama zuzu
Hela ya mwanaume mwenzako inakuuma ulitaka akununulie khanga?Wewe ndio zuzu, unajifanya timu yangu timu yangu wakati huna share hata sent ,utaichangiaje? Utauziwaje li kard lisilo na kazi wakati timu ni Mali ya GCM?
Ilikuwaje sasa mkaitwa mbumbumbu?WaTANZANIA wenye akili timamu wote ni SIMBA SC