Bnews:onyo:msipeleke watoto wenu kusoma chuo cha region aviation college -airport

Bnews:onyo:msipeleke watoto wenu kusoma chuo cha region aviation college -airport

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Kwa wale wanaopenda watoto wao kusomea mambo ya anga imeniwia kuomba radhi kwa wanaohusika na hiki chuo kwa matendo wanayoendelea kuwafanyia wanafunzi wao
muhimu kilichonileta hapa ni wale wazazi mnaotarajia kupeleka watoto wenu kusomea kozi za flight dispatchers chuo hiki kimefungiwa na tcaa mamlaka ya anga tanzania kwa wanafunzi wa f/dispatchers kufanya mitihani yao

binafsi nisingeendea vijana wenye kuwekeza ama hata kuuza nguo zao kwa ajili ya maendeleo mwisho waishie kuranda bararani kwa kuwanufaisha wachache....hii ni kwa taarifa tu maana kuna kundi limepanga kuandamana kwenda tcaa kupinga ufedhuli huu..swali lilipo wanafunzi wakimaliza chuo wanatakiwa wakafanye mtihan wa f/disp na kupaa licence/cha ajabu ukienda unaambiwa chuo chenu kimefungiwa kufanya mitihani...walipodadisi waliambiwa kuna mwanafunzi alikamtwa na mtihan akawekwa chumba kimoja kusubiri mahojiano ..baada ya dk kadhaa awakumkuta tena wakakuta tu kitambulisho chao.wakubwa walipofatwa wakadai awahusiiki na hiyo mitihan na ukweli kilichokamatwa ndio mtihani halisi

swali langu nauliza ni mwaka sasa hiiki chuo kimekuwa kikipokea wanafunzi wa kozi hii na tcaa wamekuwa kimya na baada ya kumaliza kozi wanawaambiwa awawezi kufanya mtihani je kuna uhusiano gani kati ya hiki cho na tcaa???kama mamlaka husika iweje mruhusu wanafunzi kuendelewa kutahiniwa kwenye hiki chuo hali wakimaliza awaruhusiwi kufanya mtihani

mbaya zaidi wamekuwa wakiwashawishi wanauhusiano na chuo kimoja huko uk wanafunzi wamekuwa wakifanya diploma zao na kulipa in dollers pesa nyingi iweje leo hii waambiwe awaruhusiwi kufanya mitihani???kuna nini mh manoni mzee wangu wa tcaa embu tufungulie milango kwa hili

embu mkae chini muangalie watoto wangapi wamesoma wamelipa pesa kwa doller nyingi leo hii wanaambiwa awawezi kufanya mitihani....

Ombi
mamlaka ya tcaa akuna wa kutafuta mchawi bali kama mtanzania ombi langu muwafungulie hawa watoto waliomaliza hiko chuo wafanye mitihan yao mungu awajalie wapate ajira..na wakati huo huo kama mmeamua kukifungia chuo waanfunzi wasifanye mitihani iweje jamani leo hiimnaruhusu wanaendeelea kuchukua wanafunzi mamia na kulipa pesa nyingi tu??
 
Mzee kisamo
najua wachaga awakuja kuhesabu magari dar lakini iweje unakubali kuchukua waanfunzi hali uongozi wa chuo mkijua amruhusiwi kufanya mtihani na kuendelea kuwahadaa wanafunzi mazungumzo bado yanaendelea na tcaa ;mazungumzo gani tangu mwakajana jamani ama kuna nini kati kati kinaendelea
embu ombi langu na nyie

msichukue wanafunzi mwaka huu mpaka mhakikishiwe mmepata ruhusa kufanya mtihani mtabeba laana ya kaini jamani
 
Hao vijana nao kwann wanalipa hela zao bila kuhakikishiwa endapo chuo hakina matatizo?
Kwa ufupi huo ni aina ya utapeli.
 
hao vijana nao kwann wanalipa hela zao bila kuhakikishiwa endapo chuo hakina matatizo?
Kwa ufupi huo ni aina ya utapeli.
pk haka kamchezo kanaonekana kana uzi mrefu na menene
swali langu kubwa iweje mamlaka ya anga inajua wanafunzi wa shule awawezi fanya mtihan wanaruhusu kuendeea kutahini wanafunzi huu ni uhuni nasubiri mru wa tcaa aje kutusaidia vinginevyo hata tcaa nao hatuina imani nao kabisa ...mkuu ntarusha namba hapa kesho ulizeni tcaa kamahiki chuo kinaruhusiwa hata kufanya mtihan wa tcaa...very bad na mbaya zaidi wanafunzi wamekuwa wakienda kulalamika tcaa akuna aneweza kuliongelea hata kidogo kwa kuwam mmiliki alitokea tcaa akaenda precission air na sasa anahaha kuwahadaha wanafunzi kwamba wako kwenye mchakato wa mazungumzo waweze kuruhusiwa ni mwaka sasa hii ni dhambi
 
Back
Top Bottom