Hamna curve ya inch 50 ndugu labda utakua unaongelea 55inch..hata hivyo bei kubwa zaidi ya hii nayouza mimi na haina 3D. Fanya research kabla haujaongea
Inch 32 samsung LED bei gn?? kabla.sjaenda.mlimani.cty
OK zipo za lg,Samsung, west point,hotpoint na hisense nitext kwenye namba yangu thru whatsapp au msg za kawaida nikupe Bei zake
Full HD
HDMI
USB
Built in decoder(king'amuzi)
Contact : 0713086602
Price: 1,100,000