Kikurajembe
Member
- Oct 23, 2015
- 82
- 23
Mkuu naona TV zako zote zina Analog tunner. Vipi huna yenye Digital tunner and SMART TV any series and quotations please.
You miss something dude!! Jitahidi kuwa na lugha nzuri kwa wateja.
Hebu fafanua hapo ting watakusajilije hadi ww tu upate hizo channel na sio wote wenye hizo tv wanachukua kitu gani au wanakufungia kitu gani??Yenye digital tunner unaweza kuona TV zinazorushwa kupitia vingamuzi bure kama digtek na kadhalika bila kuhitaji kingamuzi. Pia waweza kujisajili TING na ukapata vipindi vyao kwa kulipia ila bila kuwa na king'amuzi cha TING.