Punda wa Dobi
JF-Expert Member
- Jul 4, 2013
- 591
- 237
32inch ndo inaenda kwa 680,000 na 24inch kwa 350,000 samahani wandugu kwa hilo
Ebana hiyo nilikosea
32" pale butimba magereza inaenda kwa 600!!!
Samsung led?
Ndio LED.
asante mkuu ngoja nijichange...super market yao ni nzuri sana kuliko ile ya jeshi pale nyegezi kona.
32inch ndo inaenda kwa 680,000 na 24inch kwa 350,000 samahani wandugu kwa hilo