Board wanazoweka kwenye magorofa zile za drafit huwa zinaitwaje?

Board wanazoweka kwenye magorofa zile za drafit huwa zinaitwaje?

Wakuu wanaziuzaje hizo marine board? Msaada tena
 
35k to 40k mpya...
Used pia zipo nying tu kwenye yard za vitu chakavu...
 
35k to 40k mpya...
Used pia zipo nying tu kwenye yard za vitu chakavu...
Nasemea mpya inauzwa shingapi mkuu? halafu huwa inafanyiwa design? inakuwa kama ilivyo sehemu za benki au magorofa mengine yaani inakuwa na zile box za drafit sijui utakuwa umenielewa mpaka hapo boss?
 
Hapo tumepishana nadhan..design zipi unasemea?.. maana nyingine huwa ni gypsum board zinaskimiwa
 
Marine board nzuri kupigia mkanda
Yaan ukipigia mkanda kwa marine mkanda unatoka safi sanaa umenyooka
 
ngoja nikutumie picha kwa kitu ninachokiongelea ndugu yangu
Cheki hiyo picha kwa juu utaona kama kuna vibox vibox vyeupe ndo ninayoiongelea
Screenshot_2021-04-27-10-24-53-850_com.miui.gallery.jpeg
 
Back
Top Bottom