Board wanazoweka kwenye magorofa zile za drafit huwa zinaitwaje?

Wakuu wanaziuzaje hizo marine board? Msaada tena
 
35k to 40k mpya...
Used pia zipo nying tu kwenye yard za vitu chakavu...
 
35k to 40k mpya...
Used pia zipo nying tu kwenye yard za vitu chakavu...
Nasemea mpya inauzwa shingapi mkuu? halafu huwa inafanyiwa design? inakuwa kama ilivyo sehemu za benki au magorofa mengine yaani inakuwa na zile box za drafit sijui utakuwa umenielewa mpaka hapo boss?
 
35k to 40k mpya...
Used pia zipo nying tu kwenye yard za vitu chakavu...
Sawa kwahiyo ukiiweka inafanyiwa design inakuwa kama zilivyo mabenki au magorofa mengine?, yaani zinakuwa na zile box box nyeupe?
 
Hapo tumepishana nadhan..design zipi unasemea?.. maana nyingine huwa ni gypsum board zinaskimiwa
 
Marine board nzuri kupigia mkanda
Yaan ukipigia mkanda kwa marine mkanda unatoka safi sanaa umenyooka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…