Board with jf

Mkwaruzo

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2011
Posts
563
Reaction score
98
Pamoja na kuwa napenda sana kutumia jf tokea nikiwa siyo memba hadi sasa nimeshajiunga, kwa sasa imekuwa tofauti. Sijuwi ni kwangu tu au na kwa wengine wanaotumia simu pia. Tatizo ni hili, siku hizi ninapofungua jf katika scree inakuja ile vision ndogo kama vile natumia kimeo na ninapobofya ktk PC Mode inafunguka full kama vile natumia computer wakati siku za nyuma ilikuwa inakuja site ya saizi ya kati ambayo ilikuwa inaniruhusu kuona hadi pic za avatar zenu then nilikuwa nashuka moja kwa moja bila ya kwenda kulia na kushoto.
Mi naamini ni suala la waendeshaji wenyewao ila nimeazia hapa ili kujua tatizo hili ni kwangu tu au na kwa wengine pia. Au kwenu mmeona siyo tatizo ila ni mm tu?
 
Hata mimi natatizo hilo zamani nilipokuwa nikifungua inakuja fullsite sikuhizi inakuja mobile edition hivyo siwezikuona avatar labda ni ni weke kwenye pc mode nikiweka huko inakuwa slow!!
 
kama vile haijakaa mahali pake hii thread!!
 
wow, tatizo limekuwa solved... kwa muda murefu nimezimsi avatar zenu ila kwa sasa nipo nazo ktk ule mfumo ninaoupenda. hivyo nitatinga kama kawa ktk mmu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…