ndamaempire
New Member
- Jan 4, 2012
- 4
- 0
jamani mbona kimya sana hawa bodi ya mikopo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
upo chu gani ww mmeshaanza semester ya pili??????????????????????????????????????????????????? au unataka hela ya semester ya kwanza. Unaweza kuambiwa hela hamna ila hatuta kudai hivyo subiri semester ijayo.jamani mbona kimya sana hawa bodi ya mikopo?
Inamaana kuna watu mnangoja mikopo mpaka leo?
mbona walio appeal jana wamepewa pesa zao zote? At ardhi university