Board ya mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu yakosa ufanisi na uwajibikaji.

With Loan Board or without CHADEMA iko pale pale
 
We acha2 kaka,sisi wa2 wa verification ha2japata hela zetu mpaka leo na wengine washasain bumu la pili!ni ful stress,unapga pasi ndefu ukitegemea nxt wiki watakupa hela lkn wap!sio siri watoto wa maskin tunaadhirika,bodi wame2tenda na wanaendelea ku2tenda.
 

Duh! Kwanza mi ndo nasikia leo kwamba kuna list ya majina ya watakaokosa mkopo kutokana na taarifa kutopatikana OLAS. Hakika hawana ufanisi, tuliandika email na namba za simu kwa ajiri ya mawasiliano mbona hawakutumia! Kama taarifa anazotoa mtoa mada ni sahihi,narudia kusema kwamba heslb hakuna ufanisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…