robinson crusoe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2020
- 762
- 1,236
Januari aliteua board iliyojaa watu wenye sifa mfu na wizi na hata kuwahi kushitakiwa kwa kuiibia Tanesco. Mara tu, Paa! Yamekuja haya ya kusingizia ukame. Lakini, yametanguliwa na taarifa kwamba Tanesco inafanya matengezo ya mitambo. Haieleweki taarifa halisi ya tatizo la umeme ni nini? Je, hiyo bodi ya watu wake inasema nini? Au bado inasoma mitandaoni ili ije na mifano ya Malaysia na Singapore?
Wizara hii ilistahili mtu wa sayansi, anayejua dunia inazunguka kuelekea upande upi. Siyo hawa wanaoshinda mitandaoni na wakitoa taarifa hopeless.
Wizara hii ilistahili mtu wa sayansi, anayejua dunia inazunguka kuelekea upande upi. Siyo hawa wanaoshinda mitandaoni na wakitoa taarifa hopeless.