robinson crusoe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2020
- 762
- 1,236
Ujinga mwingine ni wa kuacha tu,umeme unakatika Kila Mara,bwawa la Nyerere limeongezewa muda kwa kisingizio cha crane aibu tupu,macho tunayo na akili tunazo endeleeni na hayo madili yenu.Kabla ya board wewe mwenyewe kwa maoni yako nini kifanyike?
Wanachapa kazi ili kukabiliana na tatizo.Januari aliteua board iliyojaa watu wenye sifa mfu na wizi na hata kuwahi kushitakiwa kwa kuiibia Tanesco. Mara tu, Paa! Yamekuja haya ya kusingizia ukame. Lakini, yametanguliwa na taarifa kwamba Tanesco inafanya matengezo ya mitambo. Haieleweki taarifa halisi ya tatizo la umeme ni nini? Je, hiyo bodi ya watu wake inasema nini? Au bado inasoma mitandaoni ili ije na mifano ya Malaysia na Singapore?
Wizara hii ilistahili mtu wa sayansi, anayejua dunia inazunguka kuelekea upande upi. Siyo hawa wanaoshinda mitandaoni na wakitoa taarifa hopeless.
Umeme uwashweKabla ya board wewe mwenyewe kwa maoni yako nini kifanyike?
Pale bandarini kuna container za tani 50 zinanyanyuliwa na cranes nyingi tu! Ziko pale. Yeye anasema ana vyuma vikubwa sana vya tani 26! Kijana mzee anaaamini tani 26 ni nyingi sana hadi anatoa taarifa bungeni.Ujinga mwingine ni wa kuacha tu,umeme unakatika Kila Mara,bwawa la Nyerere limeongezewa muda kwa kisingizio cha crane aibu tupu,macho tunayo na akili tunazo endeleeni na hayo madili yenu.
Wameamua kufanya biashara ya majenereta na solar energy kwa kuongeza mzigo ili stock iwe ya kutoshaJanuari aliteua board iliyojaa watu wenye sifa mfu na wizi na hata kuwahi kushitakiwa kwa kuiibia Tanesco. Mara tu, Paa! Yamekuja haya ya kusingizia ukame. Lakini, yametanguliwa na taarifa kwamba Tanesco inafanya matengezo ya mitambo. Haieleweki taarifa halisi ya tatizo la umeme ni nini? Je, hiyo bodi ya watu wake inasema nini? Au bado inasoma mitandaoni ili ije na mifano ya Malaysia na Singapore?
Wizara hii ilistahili mtu wa sayansi, anayejua dunia inazunguka kuelekea upande upi. Siyo hawa wanaoshinda mitandaoni na wakitoa taarifa hopeless.
Eti ndiyo tuliambiwa anafuata utendaji kazi,maskini Tanzania yangu.Pale bandarini kuna container za tani 50 zinanyanyuliwa na cranes nyingi tu! Ziko pale. Yeye anasema ana vyuma vikubwa sana vya tani 26! Kijana mzee anaaamini tani 26 ni nyingi sana hadi anatoa taarifa bungeni.
Watu wanapiga pesa mbayaJanuari aliteua board iliyojaa watu wenye sifa mfu na wizi na hata kuwahi kushitakiwa kwa kuiibia Tanesco. Mara tu, Paa! Yamekuja haya ya kusingizia ukame. Lakini, yametanguliwa na taarifa kwamba Tanesco inafanya matengezo ya mitambo. Haieleweki taarifa halisi ya tatizo la umeme ni nini? Je, hiyo bodi ya watu wake inasema nini? Au bado inasoma mitandaoni ili ije na mifano ya Malaysia na Singapore?
Wizara hii ilistahili mtu wa sayansi, anayejua dunia inazunguka kuelekea upande upi. Siyo hawa wanaoshinda mitandaoni na wakitoa taarifa hopeless.
Nchi inatafunwa haswaYani hiki chama kila anaepewa nafasi ni fisi(ana tamaa isiyo mithilika) anapiga makwanja wake anatembea.
CCM-Chukua Chako Mapema.
Da mkuu huu uandishi wako ni changamoto snkwenye hili nimepiga bingu bila kodi kuna mtu tuliwekeana na nikamwambia mwambu huyu wa bk katoka segelea lazima mgao wa umeme uanze tukawekeana laki laki haijapita mwezi nimepiga hela mwenzenu naona mbali sijui wamrufisheko? au nyie mnasenaje
Huyu ni mswahili hajui hata anafanya niniToto linapewa vyeo tu kwa jina la baba.
Magu mnamuita kilaza ila aligundua hili ni kilaza zaidi yangu akamrudisha kijijini.
Huyu mama sijui anatupeleka wapi.
najiiba niko jobDa mkuu huu uandishi wako ni changamoto sn