Board ya Utalii na ATCL wanakosa Ubunifu Mdogo kama Huu

Tz kuna shida tupu mi nmewahi kuwa na page insta nilikuwa nahamasisha utalii kwa kujitolea bila kulipwa ya yeyote bcoz napenda sana hii kazi. acc ilikuwa na followers kibao kuna afisa mmoja wa TTB alifuata DM na kunipiga biti nikashindwa kuelewa kosa langu.

Nikamua kuwa nadonyoa donyoa siendi front sana mana imekuwa vita


 
watafikiria ubunifu vipi wakati wako busy kupiga padiem
 
too bad mkuu pole sana, nadhani mindset zao bado zina mucus nzito, haiwezekani mzalendo kuonesha ulimwengu khs tz then walete vikwazo
 
too bad mkuu pole sana, nadhani mindset zao bado zina mucus nzito, haiwezekani mzalendo kuonesha ulimwengu khs tz then walete vikwazo
wanahitaji kupata elimu ya kutosha sikuweza kumjibu bahati mbaya nilifuta ile sms ningeambatanisha hapa alinivunja nguvu sana.

Nmetumia muda na vocha zangu kibao kutafuta follower pande zote za dunia badara ya kunisuport nkakatishwa tamaa cjui labda aliona naingilia majukumu yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…