Offshore Seamen
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 5,489
- 14,091
Wavuvi na watumiaji wengi wa boti zenye injini wamekuwa wakipata nyakati ngumu za kuporwa injini zao na wengine kujeruhiwa
Kesi nyingi za kuibiwa injini za boti ni katika ziwa Victoria, ambapo wavuvi huvamiwa na kuporwa injini za boti.
Ni boti chache zenye marine GPS kwa ajili ya uongozaji na mfumo wa mawasiliano ya redio (VHF radio).
Mfumo wa mawasiliano kati ya boti na boti,boti na mmiliki,boti na mamlaka ni mgumu chombo kikiwa ziwani au kwenye hali ya dharura.
Mfumo wa kutumia GPS Tracking utasaidia mmiliki wa boti 1 au nyingi kujua wapi boti yake ilipo,utumiaji wa mafuta kusimamia idadi kubwa ya boti kwa wakati mmoja kutumia simu/ tablet/ kompyuta.
Wizi wa injini za boti utapungua sana sababu GPS ikifungwa ndani ya injini itakuwa rahisi kufatilia wapi ilipo na kubaini wezi.