Bob junior 'live' na mchepuko

Huyu dogo ijumaa ya wiki iliyopita alikuja kijijini kwetu kupiga shoo ya kuhamasisha ujenzi wa maabara. Katika ukumbi wa kuchukua watu zaidi ya 200, alijikuta akikata mauno mbele ya raia wasiozidi 20 waliongia ukumbini.
Kama amefikia hatua ya kupata mialiko kweny ujenzi wa maabara huku serikali za mitaa bac ni wa kuonea huruma hihihihiiiiiii..... Jamaa kaisha duh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…