Bob Junior nae avaa kipedo kwenye video ya wimbo wake mpya

sajosojo

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2010
Posts
1,021
Reaction score
636
baada ya diamond kutuvalia sketi na pedo ya wema mara kadhaa nae bob junior kavaa kipedo kwenye wimbo wake mpya.
 
Huyo jamaa ana swagga za kike mauno yale ataachaje kuvaa hiyo sketi bora kajidhihirishia
 
Hiyo video ndio imenidhihirishia kua jamaa sio rizki
 
Me huwa ananiacha hoi akivaa vimodo vyake..na kile kitako chake mbinuko...na lile guu la biaa...
Yani akikupa mgongo unaweza sema ni mdada....
 
Nae kukatika kila saaa kaniboaa nyimbo mbayaaaaaaa
 
shoga hilo!" anaboa kukata kata mauno hovyo!" ...........

Grand PA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…