zanzibardefi
JF-Expert Member
- Jul 8, 2013
- 283
- 43
Nae kukatika kila saaa kaniboaa nyimbo mbayaaaaaaa
Mi pia na domo lake lilee bayaa na meno yake ya kuungua shombe shombe my foot
Uwa anajisifu eti ana lips nzuri za pink .
Hazijui lips nzuri huyoo
Mwanaume ukae ujisifie lips!!hatari sana hii.
Nae kukatika kila saaa kaniboaa nyimbo mbayaaaaaaa
Uwa anajisifu eti ana lips nzuri za pink .
Binamuuu, Mbona Fally iPupa anayakama Mauno...!