Utakuwa umemiss ngada wewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Leo nimepata ufunuo baada ya kupata mboga zetu zile za majani.
Kwamba mzee Bob hakuwa mwenzetu.
Ni dhahiri baba yake alikuwa ni muingereza(mwanamaji/mjeshi)
Pia Bob ni mfuasi hai wa Haile sellasie ambaye uzao wao upo bibliani.
Daaah naona kichwa kinafanya paa,ntamalizia baadae.
blessed be the Natural herb, cannabis Sativa.Leo nimepata ufunuo baada ya kupata mboga zetu zile za majani.Kwamba mzee Bob hakuwa mwenzetu.
Ni dhahiri baba yake alikuwa ni muingereza(mwanamaji/mjeshi). Pia Bob ni mfuasi hai wa Haile sellasie ambaye uzao wao upo bibliani.
Daaah naona kichwa kinafanya paa,ntamalizia baadae.