Bob Marley kaonekana kwenye ndizi

sijui kimetokea nini kwetu wa tz. atujadili bajeti au madawati tumebaki kujadili nani ametokea kwenye mmea gani.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yote ni matokeo ya kutojishughulisha. Sidhan kama mtu mwenye shughuli zake anaweza kugundua kitu kama hicho. Bila shaka ugunduzi huo umegunduliwa na vijana washindao vijiweni.
 
kukata tamaa na kutegemea miujiza pasipo kujishughulisha ndio inaleta matokeo kama haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…