Bob Owino: Tulipoona Spika Wetangula amechelewa kuingia ukumbini Kwa nusu Saa tukajua anapokea Maagizo kutoka Muhimili mwingine kinyume Cha katiba!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Sakata la Gen Z linatufunza mambo mengi yalivyo katika Tawala za Africa mashariki

Spika Dr Tulia aliwahi kusema Rais ndio kila Kitu

Chadema wakapinga Sana na kutolea mfano Spika wa Kenya hawezi kuagizwa na Ikulu

Mbunge wa Embakassy Owino ameliweka Hilo sawa

Ahsanteni Sana 😂
 
Oyaa muandalie chai hapo professor mbaya.
Mwambie kuwa juzi jioni waziri wa ulinzi ali deploy jeshi lakini ikawa ngumu. Usiku wake Gen Z wakapata plueprint ya ikulu na next step ikawa ni state house baada ya city hall na parliament.

Sasa muulize kwanini Ruto ali whithdrawal hìyo bill na kuirudisha bungeni? Kwanini Ruto aliamua kurudisha mpira kwa kipa kama hakuogopa?

Sometimes haya mambo inabidi uweze kuyachambua na kuelewa sio kuwa na akili chafu kama bwashee wangu The Mongolian Savage kaka yake mke wangu ephen_
 
Oyaa umbwaaa ole wako hata mbusii mmoja apotee huko malishoni mimi na wewe.
 
Sakata la Gen Z linatufunza mambo mengi yalivyo katika Tawala za Africa mashariki

Spika Dr Tulia aliwahi kusema Rais ndio kila Kitu

Chadema wakapinga Sana na kutolea mfano Spika wa Kenya hawezi kuagizwa na Ikulu

Mbunge wa Embakassy Owino ameliweka Hilo sawa

Ahsanteni Sana 😂
good
 
Back
Top Bottom