johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mwambie kuwa juzi jioni waziri wa ulinzi ali deploy jeshi lakini ikawa ngumu. Usiku wake Gen Z wakapata plueprint ya ikulu na next step ikawa ni state house baada ya city hall na parliament.Oyaa muandalie chai hapo professor mbaya.
Oyaa umbwaaa ole wako hata mbusii mmoja apotee huko malishoni mimi na wewe.Mwambie kuwa juzi jioni waziri wa ulinzi ali deploy jeshi lakini ikawa ngumu. Usiku wake Gen Z wakapata plueprint ya ikulu na next step ikawa ni state house baada ya city hall na parliament.
Sasa muulize kwanini Ruto ali whithdrawal hìyo bill na kuirudisha bungeni? Kwanini Ruto aliamua kurudisha mpira kwa kipa kama hakuogopa?
Sometimes haya mambo inabidi uweze kuyachambua na kuelewa sio kuwa na akili chafu kama bwashee wangu The Mongolian Savage kaka yake mke wangu ephen_
goodSakata la Gen Z linatufunza mambo mengi yalivyo katika Tawala za Africa mashariki
Spika Dr Tulia aliwahi kusema Rais ndio kila Kitu
Chadema wakapinga Sana na kutolea mfano Spika wa Kenya hawezi kuagizwa na Ikulu
Mbunge wa Embakassy Owino ameliweka Hilo sawa
Ahsanteni Sana 😂