mwakani naolewa
Senior Member
- Jul 25, 2024
- 148
- 426
Superstar kutoka nchini Nigeria Okuneye Olanrewaju, maarufu kama Bobrisky aachiwa huru baada ya kukamatwa April kwa madai ya kutumia vibaya na kukata noti za hela ya nigeria (naira) katika uzinduzi wa filamu huko Lagos na kuhukumiwa kifungo cha miezi sita jela bila faini