Bob Wine asema ni lazima sasa Rais Museveni athibitishe uraia wake

Bob Wine asema ni lazima sasa Rais Museveni athibitishe uraia wake

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
122,494
Reaction score
96,074
Mwana mziki na mwana siasa nchini Uganda kijana Robert Kyagulanyi maarufu kama Bob Wine amesema kuwa ni lazima sasa Rais Museveni athibitishe uraia wake.

Ameyasema hayo leo hii kwenye makao makuu ya chama chake mjini Kampala.

Amesema kwa tabia za Museveni hazilingani na tabia za waganda.

Hakika wapinzani Afrika Mashariki wameamua kuondoa uoga.
 
Back
Top Bottom