The Magnificent
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 2,694
- 1,249
watauana hawa simba.
Anawalaumu na kuwapiga wenzake, mbona yeye hakufunga wakati ni mshambuliaji?hayo yametokea muda mfupi baada ya mechi kumalizika,kwenye dressing room ya simba.
Baada ya mgosi,sasa okwi mh! But by that time nilimuona bobn akitoka mapema uwanjan,bila wenzake,katoka fasta akavuka barabara akaingia ndani ya gari ndogo huyoo.muda mfup bdae nikaambiwa yy na mafisango walikua wanampiga okwi.