Boban amtandika vichwa Okwi dressing room

mbaya zaid akamtimka huku mwenzie akipelekwa muhimbili na ambulance basena ana kazi
alipoulizwa akdai jamaa amekula mlungula kwa riz 1 ni rafiki yake kipenzi..sasa sijui YANGA atutakiwi kuwa marafiki na wachezaji wa simba
kweli mna kazi
 
haya ni matunda ya KABURU ALIEWAKARIBISHA WAHUNI WAVUTA BANGI KLABU YA SIMBA KABLA YA KUMSHUTUKIA MMOJA ATHUMAN IDDI NA SASA HUYU MWINGINE ANAMTIA AIBU UWANJANI KABISA
 
ilikua yondan na mgosi.sasa zamu ya okwi,simba mna kazi jamn . Nilishanga wakt natoka taifa mashabic wa simba walikua wanashangilia kipigo cha okwi! Badala ya kipigo cha yanga.
big up boban endelea na kampeni yako ya kun'goa wote wanahujumu timu ningekuwa basena ningekupa u kapteni
 
Huyu jamaa habadiliki tu? Kweli bangi mbaya!
 
Nitarudi na comment kama hii habari itathibitika kuwa ni kweli, maana hadi sasa chanzo ni blog ya Shafii peke yake.
 
simba na yanga haziwezi kufungana bila ya kuwepo internal hujuma....inanikumbusha wafrika jinsi tusivyokufa kwa kifo cha Mungu...lazima kuna mkono wa mtu kwenye vifo vyetu...hawawezi kufungana bila wachezaji kununuliwa na tuhuma kede kede! funny us!!

dogo Riz1 is everywhere
 
Comments nyingi zilizotolewa hapa hazina tofauti na kitendo cha Boban!Uchizi mtupu...upuuzi tu.Manchester wanafungwa ijekuwa Simba...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…