Bobbi Kristina Brown dies at age 22

RayC wetu hapa Bongo kama siyo wasamaria wema naye tungeshamsahau,ngada ni nouma!
 
R.I.P Bobi, pole na msiba wa Dada yako usa, baby usa
 
Tafsiri ya haraka haraka kwa tukio la kukutwa kwenye bathtub kuna kila dalili kwamba alizidiwa na stimu! Ukishakuwa drug addict tayari unakuwa unatembea na tiketi yako mkononi!
 
"She Is Finally At Peace In The Arms Of God".R.I.P Bobbi Kristina.We Loved You But God Loved You More!
 
Rest in peace mdogo wetu mpendwa,hayo yote yamesababishwa na mapenzi plus hela!...we will always love you
 
Madawa ya kulevya nilisikia kalikuwa kanajidunga sana.
 
Tafsiri ya haraka haraka kwa tukio la kukutwa kwenye bathtub kuna kila dalili kwamba alizidiwa na stimu! Ukishakuwa drug addict tayari unakuwa unatembea na tiketi yako mkononi!

Hivi ni kwa nini mtu akishakuwa addicted huwa anapenda bathtub ( kwa majuu lakini maana hawa wa huku kwetu hawataki hata kuoga?
 
Chakula cha Nyoka ni kibaya sana! R.I.P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…