Bobbi Kristina Brown dies at age 22

Najiuliza kama si mama yake ndo alimfundisha miunga?

Nope....kuna kajamaa kalikua kanalelewa na whitney..kamtoto kalichukuliwa ili kukasaidia vile ni poor family.. so wakawa kama kaka na dada.kaboy kalivyokua kakubwa kakamgeuka binti na kufanya mke wake hapohapo ndo kalimfundisha kila aina ya uchafu plus hiyo mingada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…