Bobbi Kristina Brown's family reportedly gathers to say goodbye!

Hii sympathy mnayoonyesha hapa kwa binti aliye miles away, mngeionyesha kwa ndugu zetu na jamaa zetu wa hapa home kwa kukemea na kuwachoma wauzaji ingesaidia sana
 
haya madawa haya dah "yalimnyofoa" tevez huko south, yaka mdedisha Whitney nasasa ni bobbi
 
Dah ina maana huyu binti nae alikua anakula madawa
then kazuri kweli haka kabinti kanakufa bado katoto
yani naumia km nnamfahamu vile

Acheni unafki munamuonea huruma huyo teja wakujitakia munashindwa kuwaonea huruma watoto hapa hapa nyumbani wanafuka kwa kukosa chakula... mamazetu wanakufa labour kwa kukosa huduma stahiki... wanafki wakubwa nyie

Sad indeed! May God see her through

i feel sory kwa kweli kabinti kazuri kweli

Kwakweli inauma sana basi tu!!

So sad indeed, yaani bado mdogo kweli.......naumia kila nikisikia au kusoma jina lake. May our good Lord see her thru this difficult time.

AMEN!God have mercy on this little kid,give her another chance to live...

Ooooh Lord have a mercy maana mhhhhh????
 
Acheni unafki munamuonea huruma huyo teja wakujitakia munashindwa kuwaonea huruma watoto hapa hapa nyumbani wanafuka kwa kukosa chakula... mamazetu wanakufa labour kwa kukosa huduma stahiki... wanafki wakubwa nyie

Watu wengine bhana...
Kama kumuonea huruma ni unafiki kwahiyo we ulitaka tufanyeje labda?
 
Acheni unafki munamuonea huruma huyo teja wakujitakia munashindwa kuwaonea huruma watoto hapa hapa nyumbani wanafuka kwa kukosa chakula... mamazetu wanakufa labour kwa kukosa huduma stahiki... wanafki wakubwa nyie

umeshawahi kusoma comments zangu kuhusiana na uliyoyaandika?
 
Reactions: Kbd
Acheni unafki munamuonea huruma huyo teja wakujitakia munashindwa kuwaonea huruma watoto hapa hapa nyumbani wanafuka kwa kukosa chakula... mamazetu wanakufa labour kwa kukosa huduma stahiki... wanafki wakubwa nyie

Mtu mwenye roho mbaya na mnafiki mkubwa utamjua.Ulitaka tusemeje?Au kwa kuwa una liroho lako libaya basi na sie tukuige?
 
Acheni unafki munamuonea huruma huyo teja wakujitakia munashindwa kuwaonea huruma watoto hapa hapa nyumbani wanafuka kwa kukosa chakula... mamazetu wanakufa labour kwa kukosa huduma stahiki... wanafki wakubwa nyie

Mnafiki ni wewe unaechagua nani umuonee huruma na nani usimuonee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…