JOTO LA MOTO
JF-Expert Member
- Apr 11, 2018
- 758
- 555
Kuna wakati unakuwa so hot, lakini ni ngumu kubaki hot muda wote....kutoka ladie's man mpaka kuwa 'mounted by a ghost'.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bobby enzi zake alikuwa moto chini.Huyo Mtangazaji vipi, mbona kama amepagawa?
Alikuwa enzi zake, sasa hivi ametulia sana...changamoto ya drugs haikumuacha salama ingawa ameshaacha.
Huwezi kuwa juu milele sema ameacha historia yake ambayo hata kijana wa sasa akifanya unasema huyu ni Bobby Brown akna Chris Brown au usher bado hawajafikia enzi za BobbyAlikuwa enzi zake, sasa hivi ametulia sana...changamoto ya drugs haikumuacha salama ingawa ameshaacha.
Ila kujimaliza kwingine alijitakia mwenyewe.Huwezi kuwa juu milele sema ameacha historia yake ambayo hata kijana wa sasa akifanya unasema huyu ni Bobby Brown akna Chris Brown au usher bado hawajafikia enzi za Bobby
Sent using Jamii Forums mobile app
Alilaumiwa kumuharibia Whitney, ingawa haiko wazi nani alimpoteza mwenzake....kumbuka pia Whitney alikuwa mkubwa kwa Bobby.tNikimuona huyu jamaa nakumbuka harusi yake na Whityney Houston
Ngoma zake nyingi bado kali masikioni.
Ile ya Dont be cruel ilikuwa moto, hata ile Roni...Ngoma zake nyingi bado kali masikioni.
Two can play that gameNgoma zake nyingi bado kali masikioni.
Roni was the ish back in the days. Kuna clip moja alikuwa live concert ilikuwa balaa...watoto wa kike walikuwa wanatweta na kutupa kufuli zao jukwaani. Achana na Bobby B..Ile ya Dont be cruel ilikuwa moto, hata ile Roni...
Pia kuna kitu 'Roni' alivyomchambua Mtoto Roni, utamuelewa Bobby.....Roni ni ngoma yangu namba mbili baada ya 'Dont't be cruel'Two can play that game
The truth about a Roni,Pia kuna kitu 'Roni' alivyomchambua Mtoto Roni, utamuelewa Bobby.....Roni ni ngoma yangu namba mbili baada ya 'Dont't be cruel'
Na huwa sijamuelewa kwa nini anasema 'a Roni'The truth about a Roni,
She's a sweet little girl,
If you treat her right,
Real nice and hold her tight.
Only tender Ronis,
Can give the special love,
A special kind of Love,
That makes you feel good inside.
If you believe in Love
And all that it can do for you,
Give it a chance, girl
You'll find romance.
And if you find a tender Roni
That is right for you,
Make it official,
Give her your Love.
My Heart belongs to a Roni..
She's my only Love
Hiyo Roni ilitokana na msemo Tenderoni. Yaani mtoto mbichiii, mzuri,, laini, mrembo na mwenye madaha hatari.Na huwa sijamuelewa kwa nini anasema 'a Roni'
Labda ni katika kutafuta mrindimo (melody)
Sawa, ila ikishakuwa jina huwezi kutanguliza 'a' , kwa sababu si anamuimbia Mtoto mzuri wa kuitwa Roni?Hiyo Roni ilitokana na msemo Tenderoni. Yaani mtoto mbichiii, mzuri,, laini, mrembo na mwenye madaha hatari.
Kwa hiyo Bobby alifupisha kusema Roni ili kubamba kimrindimo.