Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 19,976
- 32,195
Amani iwe nanyi wakuu,
Msanii na Mwanasiasa wa Uganda Bobby Wine ametajwa na jarida la Forbes kuwa ni binadamu mwenye ushawishi zaidi duniani, hasa hasa kwenye muziki na siasa.
Majuzi Msanii huyo alitangaza nia ya kugombea urais huko Uganda. Kila la kheri Bobby Wine. Sisi wanasiasa wetu huku Tanzania wanafikwa bei kama mafungu ya dagaa. Wakitishwa tu kidogo wanaogopa wanakumbuka V8 zao walizopaki kwenye mageti yao makubwa.
LONDON BOY