monde arabe JF-Expert Member Joined Oct 22, 2017 Posts 8,781 Reaction score 13,444 Aug 7, 2019 #21 Ni laana sana kuzaliwa Africa!
T TIBIM JF-Expert Member Joined Dec 1, 2017 Posts 8,010 Reaction score 7,956 Aug 7, 2019 #22 Wakoloni wanapaswa wasome alama za nyakati upepo wa mabadiliko huwa auepukiki Africa.sio kila siku ni jumapili watauwa watu Lkn mwisho hauzuiliki.
Wakoloni wanapaswa wasome alama za nyakati upepo wa mabadiliko huwa auepukiki Africa.sio kila siku ni jumapili watauwa watu Lkn mwisho hauzuiliki.
T TIBIM JF-Expert Member Joined Dec 1, 2017 Posts 8,010 Reaction score 7,956 Aug 7, 2019 #23 Wyatt Mathewson said: Mkuu Historically udikteta haujawahi kulipa! Hawa jamaa watumie akili,tena sana! Click to expand... Ukiwekexa akili yako Kwa mganga hio akili itoke wapi.jeuri zote sababu ya ndumba.
Wyatt Mathewson said: Mkuu Historically udikteta haujawahi kulipa! Hawa jamaa watumie akili,tena sana! Click to expand... Ukiwekexa akili yako Kwa mganga hio akili itoke wapi.jeuri zote sababu ya ndumba.
Saint Ivuga JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 54,762 Reaction score 59,204 Aug 7, 2019 #24 Kumbukumbuyatorati said: Ile mbinu kaona mwenzake kafail sasa wameamua kuwafunga maisha wakagombee urais gerezani hata hapa kwetu wengi wataozea gerezani tu. Click to expand... Kashaanza kuwapiga Money laundering. Ili wasipate dhamana
Kumbukumbuyatorati said: Ile mbinu kaona mwenzake kafail sasa wameamua kuwafunga maisha wakagombee urais gerezani hata hapa kwetu wengi wataozea gerezani tu. Click to expand... Kashaanza kuwapiga Money laundering. Ili wasipate dhamana
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Aug 7, 2019 #25 Hatari sana... Ngoja tuone... Cc: mahondaw
The only JF-Expert Member Joined May 19, 2011 Posts 10,805 Reaction score 14,181 Nov 2, 2019 #26 Mungu hana muda na waafrica ,jipambanieni acheni kwenda miskitini na kanisani