Huyu dikteta anaendelea na mambo yake ya uhaini. Bobi wine amefikishwa kortini leo akionekana na majeraha mazito hadi hangeweza kutembea bila usaidizi. Baadaye aliwachiliwa na kukamatwa tena.
Mi najua 100% kuwa governments nyingi zimeangushwa na Marekani. Mtu yeyote mwenye amesoma history atanielewa. It's just that Marekani ni kama wanampenda huyu jitu. Full stop.