Bobi Wine asema ana imani wanaweza kuushinda udikteta nchini Uganda

Bobi Wine asema ana imani wanaweza kuushinda udikteta nchini Uganda

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Mgombea Urais wa Uganda kupitia NUP, Robert Kyagulanyi (Bobi Wine) amesema kinachompa imani kuwa wanaweza kuushinda udikteka ni historia ya Vijana kuwa chachu ya mabadiliko barani Afrika.

Katika mahojiano yake na Kituo cha CNN, ameeleza anawakilisha kundi la Vijana ambao wanataka mabadiliko, hivyo ni imani yake kuwa wakisimamia Sheria na kujitokeza kwa wingi kupiga kura wanaweza kufanikiwa kumshinda Rais Yoweri Museveni.

Mgombea huyo anasema anamalizika nguo maalum ya kuzuia risasi ili afanye kampeni na anafahamu Uchaguzi Mkuu wa Januari 2021 hautakuwa huru na wa haki.

 
Back
Top Bottom