Bobi Wine naye ni wale wale?

Mnataka kumchanganyia Babu M7 Magunzi na Batteries kweli atwasha hio Tochi?
 
Inategemea na katiba
Inategemea yao inasemaje

Mbona hata sisi zamani tulikuwa na siasa majeshini
 
Haramu huliwa na haramu
wine atamalizwa mapema tu
amuwezi uza afrika kwa mabeberu
kihuni hivi
 
Nilisikia kampeni zimesimamishwa Uganda kwenye miji mikubwa eti sababu ya Corona, Museveni anatetemeka sana, huyo Bobi anaenda kuchukua ile nchi hatanii, labda polisi ndio wamuokoe Museveni.
Bado mnaweweseka na Lissu wewe Chadema. Mlibwawaja wee na huyo mbelgiji Sasa mmehamia kwa bobi wine.
Endelea kujipa matumaini hewa.
 
Hivi urais ni wa familia au muhusika? Watotowake ndio watakuwa mawaziri au? Presidency is about yeye. Sio familia yake.
Tunahitaji rais aliyetulizana na familia yake ikulu!! Zamani ningewaelewa kidogo lakini siku hizi teknolojia hatuhitaji kuwa na loopholes za ku- breach our "whitehouse security firewall"!

Pili, kuficha familia yake nje inatengeneza mazingira hatarisha ya rais wa nchi kuwa blackmailed. Sasa rais amekuwa blackmailed kuna nchi hapo!?

Tatu, kuficha familia ng'ambo huku unasema ni rais wa nchi, ni ishara kubwa sana kuwa ama wewe ni very weak na upo kwenye nafasi hiyo kwa nguvu za walioifadhi familia yako, ama hiyo nchi ni very fragile katika kila eneo hasa la ulinzi na usalama pamoja na jamii kwa ujumla.

Kwa hiyo raia wanaokubali kumuweka madarakani rais ambaye ameficha familia yake ughaibuni, hao watakuwa wanakubali mapungufu matatu niliyoeleza! Na kukubali mapungufu hayo, wakati nchi yenu hako katika hali hiyo ni uwendawazimu!!
 
Sasa unachobisha wewe ni kipi?
 
Mazingira ya kupata urais huku familia ya mgombea upinzani ikiendelea kuishi maisha ya kawaida yaliishia utawala wa JK. Baada ya hapo hatuna tofauti na Uganda au Rwanda.
Rejea post namba 150 ya uzi huu.
 
Una elimu gani wee mataga mtu familia imekoswa koswa bomu afu utaki achukue tahadhari akiwa raisi si atakua ikulu ana ulinzi so familia itakuja,,
Nani anakuweka ikulu wake u-udhaifu? Hata hivyo rejea post namba 150 ya uzi huu.
 
Hayo ya kurushiwa bomu (kopo) chumbani kwake kayasema yeye sawa tu na yale aliyosema Tundu Lissu ya kupokea simu kutoka kwa asiyejulikana akimtishia kuondoa uhai wake!
Lissu alipokea tu simu? Ukiwa mjinga jitahidi usifikie upumbavu.
 
Pumba tupu wapigania uhuru wengi wa kusini mwa Africa walipewa hifadhi morogoro na sehem zingine kwann waliongoza mapigano huku familia zao zikiwa nje ya nchi zao jiulize kwanza afu uone utopolo uliopost
 
Lissu alipokea tu simu? Ukiwa mjinga jitahidi usifikie upumbavu.
Lisu alitaka kulala barabarani aliposimamishwa na polisi wakati anaenda sokoni kuke bagamoyo, tena alipiga mkwara wa nguvu akisema tutalala hapa kama kutuua na watuue.

Akarusha chopa toka Kia hadi dar bila kibali akisema haogopi chochote, na wafanye wanachotaka!

Sasa swali langu ilikuwaje Lisu mwisho wa siku akaogopa kitisho cha kwenye simu?
 
Sasa kwa akili zako za ufipa unadhami huyu mvuta bang anaweza kuwa rais wa Uganda
Soma maelezo yangu juu hapo utanielewa. Nikuulize una uhakika gani m7 hakuvuta bangi msituni 1980s?
Ficha ujinga wako basi
 
Kwahiyo walitumia Stun Grenade kwa lengo gani?
Baada ya kuchukua fomu ya kugombea Urais. Kulikuwa na vurugu nyingi mtaani kwake. Watu walikua wanashangilia. Mabomu yalirushwa ndani ya fensi ya nyumba.
 
Sasa unachobisha wewe ni kipi?
Sijui unaulizia nn? Nimesema yote hapo juu. Sasa kwa taarifa yako huyo bobi mnayemuona kichaa mvuta bangi ana support kubwa sana. Tena nyingine ni fiche ndani ya buganda kingdom subiri kiwake uone kabaka atakaposema neno mitaani kutakuwaje? M7 pamoja na yote anaheshimu n kumlinda sana kabaka yule jamaa akisema neno dk.0 uganda haitawaliki.
Uje na facts sio ushabiki.wa simba na.yanga kama wapuuzi wengine hapo.juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…