Bobi Wine: Rais wa Tanzania yupo Uganda Rais wa Uganda yupo Tanzania

Bobi Wine: Rais wa Tanzania yupo Uganda Rais wa Uganda yupo Tanzania

T2020

Senior Member
Joined
Jul 15, 2020
Posts
158
Reaction score
361
Akihutubia Baraza Kuu la Chadema kwa lugha ya kiingereza ametema nondo kadha za kufikirisha kwa Chadema. Amewaachia hoja ya kutafari juu ya agenda yao ya Kariba mpya kwa kusema.

Uganda Wana Katiba nzuri pengine nzuri kuliko zote Dunia pamoja na Museven kuibadirisha mara kadha. Lakini Uiddi Amini Uganda haujaisha.
 
Kwa hiyo wamepishana angani siyo? Bobi anakutana na wapunzani na Samia na Rais mstaafu au? Wanasiasa wanajuana wenyewe. Nimeipenda Uzi wa Chadema wa leo.
 
Katiba ya wananchi mchakato wake una anzia kwa wananchi... katiba ya wanasiasa mchakato wake uanzia kwa wanasiasa na kupewa majina yao kama katiba ya warioba, au tume ya Nyalali nk.

Hivyo hii/mchakato huu sio wa wananchi, ila wananchi wana pakaziwa shombo waonekane wamekula na kushiba wakati sio kweli... wajinga wali wao...
 
Back
Top Bottom